T-TanzaniteGram Blog

Website

T-TanzaniteGram Blog Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from T-TanzaniteGram Blog, ttanzanitegram@gmail. com, Arusha.

Digital platform that specialized into the provisions of Education and Services concerned Gemology, Lapidary, Jewellery Technologies, Gemstone Trade investments and Pricing Guidance without forgotten about online Valuations services.

25/09/2026

TAZANA VIDEO HII HADI MWISHO.

Jinsi ya kutumia program ya T-TanzaniteGram ili kufanya tathimini za Madini ya Vito aina ya Ruby, Emerald pamoja na Tanzanite yenye ubora Daraja (Grade) A ndani ya uzito wa Carats 1.50

Tumia program ya T-TanzaniteGram itakusaidia kujua thamani ya Madini ya Vito aina zote kwa gharama nafuu ya shillingi Elfu 15,000 tu kwa makundi ya Colored Gems na 10,660 kwa Almasi ambapo gharama zote hulipiwa mara moja tu kwa mwaka.

NUMBER YA MALIPO.
Airtel Lipa Number: 651100886

Jina: T-TANZANITEGRAM

Baada ya malipo yako kutimia utatutumia screen shot ya muamala wako pamoja na majina yako matatu kisha kusubiri usajili na kupatiwa username pamoja na password yako.

Note: Malipo hupokelewa kupitia lipa number yenye jina la T-TANZANITEGRAM pekee wala sio vinginevyo, na Tathimini zinazo tolewa ndani ya Mfumo wetu ni za kuaminika na hazitofautiani na zile zitolewazo kutoka Wizarani au office za Madini ya Vito na huangazia katika Soko la ndani na kimataifa.

Kwa maelezo zaidi piga Number zifuatazo: +255688882893

14/07/2026

Habari, kwa wale wote wanae hitaji kujua thamani ya Madini yao ya Vito aina zote mnaweza kuwasiliana nami, popote pale ulipo huduma inakufikia kikubwa unitajie kiasi cha uzito wake na kunitumia video angavu yenye kuonyesha vyema upande wa ndani na nje ya Madini hayo ili kujua ubora wake kisha kufanya tathimini ili kujua thamani yake halisi na gharama zangu ni Elfu 15,000 Tsh tu.

Pia kwa wale ambae wanahitaji kusajiliwa katika software itakae wasaidia kujua thamani ya Madini yao ya Vito aina zote, mnaweza kuwasiliana nami ili kujipatia mwongozo kamili na gharama za kusajiliwa ni Elfu 10,660 Tsh tu kwa account moja ila ukilipia Elfu 15,000 Tsh utasajiliwa account mbili huku Moja ikiwa k**a offer na gharama hizo hulipiwa mara moja tu kwa mwaka mzima.

Kwa mawasiliano zaidi piga Number:
+255688882893

WhatsApp:
https://wa.me/255694444391

NUMBER YA MALIPO.
Airtel Lipa Number: 651100886

Jina: T TANZANITEGRAM

31/05/2026

T-TanzaniteGram App, is a digital platform that specialized into the provisions of online services such as Education, Gem Valuation, connecting Gem Traders, Jewellers, Lapidarists, Gemologists all together as once so so to expand the market opportunities and sharing knowledges but also informations

NAFASI ZA AJIRA ZA MTANDAONI (REMOTE JOBS).     T-TanzaniteGram, ni jukwaa la mtandaoni linalo jishughulisha na utoaji w...
28/05/2026

NAFASI ZA AJIRA ZA MTANDAONI (REMOTE JOBS).
T-TanzaniteGram, ni jukwaa la mtandaoni linalo jishughulisha na utoaji wa huduma za kitaalamu ndani ya tasnia ya Madini ya Vito kwa njia za mtandaoni.

Tunatafuta vijana wa kutangazia Soko la bidhaa na huduma zetu, ikiwemo:

1- Huduma za kuthimisha thamani za Madini ya Vito (Gem Valuation) aina zote ili kujua bei yake halisi.

BEI YA TATHIMINI (VALUATION).
•15,000 Tsh kwa kila aina ya Madini ya Vito itakayo fanyiwa tathimini ili kujua thamani yake halisi.

2- Vitabu vya mwongozo wa thamani za Madini ya Vito.

BEI YA VITABU.
•10,500 Tsh na kitabu kipo katika mfumo wa soft copy (PDF) ambapo mteja hutumiwa kwa njia ya WhatApp baada ya malipo yake kupokelewa.

3- Software yetu inaotumika katika kufanya tathimini ya utambuzi wa thamani za Madini ya Vito aina zote ili kujua thamani zake halisi.

BEI ZA KUJISAJILI KWENYE SOFTWARE.
•Semi-Precious Colored Gems= 10,660 Tsh kwa mwaka.
•Precious Colored Gems= 10,660 Tsh kwa mwaka.
•Precious Diamond Gems= 10,660 Tsh kwa mwaka.

MALIPO YA KAZI.
Malipo hutolewa kila baada ya mauzo kutimia na kwa kila mteja utakae muelekeza kwetu na akafanikiwa kulipia ili apate huduma hizo, basi utalipwa kiasi cha asilimia 4.7% kutoka katika pesa alizo zilipia na kadiri wateja wako wanavyo zidi kulipia ndivyo ambavyo na wewe uzidivyo kulipwa.

VIGEZO VYA AJIRA.
•Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.
•Uwe mwenye akili timamu.
•Uwe na uwezo wa kuzungumza, kushawishi wateja, kutangaza biashara kikamilifu na mwenye kauli njema mbele ya wateja.
•Uwe unamiliki simu janja (Smartphone) au Computer.
•Uwe unafahamu vyema Madini ya Vito.
•Hatuangalii level ya Elimu bali uwe na uwezo wa kusoma na kuandika.

KITUO CHA KAZI.
•Majukumu yako ya kazi hufanyia mahali popote pale ulipo.

JINSI YA KUTANGAZIA BIASHARA.
•Unaweza kutangaza kwa njia ya kubandika vipeperushi.
•Unaweza kutangaza kwa njia ya mitandao yako ya kijamii ikiwemo: Blogs, Websites, Groups, Channels, Accounts.
•Unaweza kutangaza kwa njia ya ana kwa ana.

Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi hii ya Ajira, Tafadhali piga Number zifuatazo:
+255688882893
+255627438433

27/05/2026

T-TanzaniteGram Gem Valuation Software
Hii ni program maalumu inaotumika kwaajili ya kutoa muongozo au kufanya tathimini za thamani za Madini ya Vito aina zote kwa gharama nafuu ili kusaidia au kurahisisha zoezi la utambuzi wa bei za Madini ya Vito.

Kumbuka software hii inatumia au kuunganishwa pamoja na Calculator na chart maalumu kwaajili ya valuation ikiwemo chart kutoka wizara ya Madini Tanzania na Taasisi ya kupangilia bei za Madini ya Vito ulimwenguni pamoja na Rapaport kutoka shirika la upangiliaji wa bei za Madini ya Vito aina ya Almasi (Diamond) ulimwenguni, kwaio tathimini na majibu yatolewayo na software hii ni ya kuaminika kwa asilimia 100% pia kutumika katika Masoko ya ndani ya nchi hadi nje ya nchi.

GHARAMA ZA KUJIUNGA NA AINA ZA MAKUNDI YA MADINI YA VITO UNAYOWEZA KUCHAGUA.
• Semi-Precious Colored Gems = 10,660 Tsh kwa mwaka.
Mfano: Rhodolite, Almandite, Amethyst, Ametrine, Aquamarine, Spessartite, Crystal Quartz, Tourmaline, Moonstone, Citrine. nk..

• Precious Colored Gems = 10,660 Tsh kwa mwaka.
Mfano: Tanzanite, Ruby, Alexandrite, Sapphire, Emerald, T-servorite, Spinal. nk..

• Precious Diamond Gems (Almasi) = 10,660 Tsh kwa mwaka.
Mfano: Colorless Diamonds and Colored Diamonds.

JINSI YA KUJIUNGA
• Ingia kwenye software hio na kulipia kwa njia ya PayPal na baada ya malipo kukamilika mfumo utakupeleka Moja kwa Moja mpaka kwenye ukurasa wa kujisajili ili kuanza kutumia software hio. Link ya Software: Https://t-tanzanitegram.byethost4.com/apply.html

Au

• Lipia kwa njia ya Airtel Money kisha baada ya malipo kutimia utatu taarifu ili tukusajili Moja kwa Moja sisi wenyewe na kukupatia Username pamoja na Password yako ili kuanza kutumia software hio.

Airtel Lipa Number:
651100886

Jina:
T-TanzaniteGram

Baada ya kulipia huduma upendao utatupigia simu ili tukuhudumie. Asante kwa kuchagua huduma za T-TanzaniteGram

Kwa maelezo zaidi piga simu Number:
+255627438433
+255688882893

Tangazo.
K**a wewe ni mmiliki wa kampani na unahitaji matangazo ya biashara yako yaweze kubandikwa ndani ya platform yetu unaweza kuwasiliana nami Moja kwa Moja na kulipia gharama ndogo ya kiasi cha 8,000 Tsh pekee na tangazo lako kurushwa baada ya masaa machache.

Idadi ya watumiaji wa T-TanzaniteGram ni
8.3 Million duniani kote.

💎Gem Valuation SoftwareLink:Https://t-tanzanitegram.byethost4.com/apply.htmlFEE PRICES PER YEAR.Semi-Precious Colored Ge...
19/05/2026

💎Gem Valuation Software

Link:
Https://t-tanzanitegram.byethost4.com/apply.html

FEE PRICES PER YEAR.
Semi-Precious Colored Gems = 4.1 USD
Precious Colored Gems = 4.1 USD
Precious Diamond Gems = 4.1 USD

Trusted 💯% , Easier to use, Fastest & Cheapest

Total Members: 2.5Million Worldwide Users.

Identify the value of your Gemstone and operate your business professionally. Our premium service's fees are so cheap but also affordable to all individuals or companies. Our Guiding Fees begins with $10 to $40 per Sample.

18/05/2026

Tizama hio video mpaka mwisho ili kujifunza jinsi ya kuangalia thamani halisi ya madini ya vito aina ya aquamarine.

Nilinunua kilo Moja ya Madini ya Vito aina ya Aquamarine kutoka kwa mchimbaji kwa gharama ya shillingi Elfu 30 na baada ya hapo nilichambua (Sort) na kupata kipande chenye ubora wa Daraja A (Grade A) kisha kwenda kukiongezea thamani na kupata Sample yenye uzito wa Carats 1.80, kwaio baada ya hapo nilipanga kwenda kuuza kwa gharama ya shillingi laki mbili ila kabla ya kwenda sokoni kuuza roho ilisita na kuamua kutumia software hio ya T-TanzaniteGram ili kujua thamani halisi ya Madini hayo na kugundua yakwamba hio Carat 1.80 thamani yake hugharimu takribani dollar $406.80. Na baada ya hapo nilitumia kanuni na njia ifuatayo ili kuchenchi hio dollar na kuhamia kuwa pesa za kitanzania:

Given:
$406.80 USD
2,610.5772 Tsh
USD Dollar × Tsh

Soln:
$406.80 USD × 2,610.5772 Tsh = 1,059,391.32624 Tsh

Thamani yake kwa pesa za kitanzania ilikuwa ni shillingi 1,059,391.32624 Tsh

Baada ya kujua thamani yake halisi badala ya kuuza kwa hio thamani niliopewa na software, badala yake niliamua kuongezea na bei yangu binafsi na kuuza kwa gharama ya shillingi milioni Moja na laki sita. Kwaio kupitia Ile kilo Moja nimefanikiwa kuzalisha shillingi Milioni Moja na laki sita huku bado naendelea kuchambua zile sample zilizo salia ndani ya ile kilo Moja ili kupata tena sample itakae kuwa katika ubora mzuri ili nirudi tena kuongezea thamani na kuuza.

Nikiwa k**a mtaalamu wa Jimolojia nakushauri utumie hii software hakika huto kuja kujutia na ndani ya miezi michache pekee utakuja kuiona faida yake, na gharama za kutumia software hii ni nafuu mno tena unalipia Ada yako ya uwanachama mara moja tu kwa mwaka mzima na kuendelea kuitumia bure k**a silaha yako ya kibiashara.

Airtel Lipa Number:
651100886

Jina:
T-TanzaniteGram

Baada ya kulipia huduma upendao utatupigia simu ili tukuhudumie. Asante kwa kuchagua huduma za T-TanzaniteGram

Kwa maelezo zaidi piga simu Number:
+255627438433
+255688882893

Link ya Software:
Https://t-tanzanitegram.byethost4.com/apply.html

JE, UNAJUA UMUHIMU WA KUYAONGEZEA THAMANI MADINI YA VITO KABLA YA KUYAUZA ?    Madini ya Vito ni miongoni mwa Madini yen...
11/05/2026

JE, UNAJUA UMUHIMU WA KUYAONGEZEA THAMANI MADINI YA VITO KABLA YA KUYAUZA ?
Madini ya Vito ni miongoni mwa Madini yenye thamani kubwa maradufu zaidi pindi baada ya kuongezewa thamani, kitu ambacho ni rahisi kukuza uchumi wa mfanya biashara husika pale endapo ataujua umuhimu wa kuyaongezea thamani Madini ya Vito kabla ya kuyaingiza sokoni.

MFANO HAI KWENYE MADINI YA VITO AINA YA RED SPINAL.
Kwa kuanza ni vyema tukafahamu zaidi kuhusu mpangilio wa vipimo vya uzito kwenye Madini ya Vito ambapo Gram 1 ni sawa na Carats 5, na Carat 1 ni sawa na Gam 0.2.

Sasa katika majukumu yangu ya kikazi nilikutana na Mteja mwenye Gram 0.52 za Madini ya Vito aina ya Red Spinal na kuniomba ushauri baada ya kumpatia huduma ya valuation ambapo swali lake lilikuwa ni hili; "NIFANYAJE ILI KUJIONGEZEA FAIDA KUPITIA JIWE HILI", na Mimi k**a mtaalamu wa Jimolojia (Gemologist) nilimshauri akaliongezee thamani jiwe hilo ili kuongezea kiwango cha thamani yake na mfanya biashara huyo alikubali kisha kwenda kuliongezea thamani jiwe lake.

Baada ya mchakato wa uongezeaji thamani kukamilika ilipatikana sample yenye uzito wa Carats 3.19 ambayo ni sawa na Gram 0.313 na majibu ya tathimini ya thamani yake yalikuwa ni k**a ifuatavyo:

KABLA YA KUONGEZEWA THAMANI (BEFORE FACETED).
• Aina (Species): Red Spinal.
• Daraja (Grade): A
• Grams: 0.313
• Thamani (Price): 81,511.67284 Tsh ($31.3 USD)

BAADA YA KUONGEZEWA THAMANI (AFTER FACETED).
• Aina (Species): Red Spinal.
• Daraja (Grade): A
• Carats: 3.19
• Thamani (Price): 23,294,004.816368 Tsh ($8,944.76 USD)

UHIYANO (DIMENSIONS).
• Urefu (Height): 10 Millimeters
• Upana (Width): 8 Millimeters
• Kina (Depth): 5 Millimeters

HITIMISHO.
Biashara ya Madini ya Vito ni miongoni mwa biashara zenye faida zaidi pale endapo itafanyika kwa kufuata Sheria na kanuni zote za kitaalamu bila kutegemea ufanyaji wa biashara kwa kutumia mazoea au blaa blaa za vijiweni. Asante

Unaweza kunitafuta k**a utahitaji huduma za kitaalamu ikiwemo kutathiminisha thamani za Madini ya Vito ili kujua bei yake, na gharama zangu ni nafuu mno ya shillingi Elfu 15 tu ambapo popote pale ulipo huduma inakufikia kikubwa unitumie video yenye kuonyesha vyema upande wa ndani na nje mwa jiwe lake kisha kusubiri report ya majibu yako baada ya masaa mawili ya kazi kutimia.

Airtel Lipa Number:
651100886

Jina:
T-TanzaniteGram

Baada ya kulipia huduma upendao utatupigia simu ili tukuhudumie. Asante kwa kuchagua huduma za T-TanzaniteGram

Kwa maelezo zaidi piga simu Number:
+255627438433
+255688882893

AU

WhatApp:
https://wa.me/255694444391

Na k**a huhitaji kufanyiwa valuation na mtaalamu wa jimolojia unaweza kutumia software ya T-TanzaniteGram itakayo kusaidia kufanya valuation kwa gharama nafuu zaidi kwa mwaka mzima.

Address

Ttanzanitegram@gmail. Com
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T-TanzaniteGram Blog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share