Seif Watchstore

Seif Watchstore ni wauszaji wa saa aina zote
jumla na reja reja
tunapatikana kariakoo msimbazi

13/06/2026
09/06/2026

Yes k**a kawaida sisi kujifunza ni jambo la kawaida siku ya tarehe 07/06/2026 nilifika bagamoyo kwa nduguyangu na mteja wangu pia fahadi yeye ni doctor mashuhuri pale bagamoyo na mungu kajaalia kafungua Dispansery na anawahudumia wananchi kwa weledi kabisa na mm nilipata fursa ya kuongea nae vitu tofauti na kujifunza nashkuru mungu nimepata mambo muhimu na pia nikapata vipimo vya afya papo hapo.
Mara baada ya maongezi mazuri tukamzawadia zawadi ya saa⌚ kutoka na kaipokea kwa mapokezi mazuri. Tunaendelea kujifunza kwa watu tofauti na hatutochoka kwa uwezo wa Mungu 🙏🙏



05/06/2026

📌Karibuni sana
📌Kama mwanangu alivojipatia kidonda chake
📌Unajipatia saa kali na za kijanja
📌Saa zetu ni bora na imara
📌Tunapatikana kariakoo nyuma ya jengo la simba sport
📌Tunafanya delivery mikoa yote ya Tanzania
📌Unachangia delivery kulingana na sehemu uliopo
📌Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no👇

☎️,Call & Watsapp

+255789799636



05/06/2026

📌Karibuni sana
📌Unajipatia saa kali na za kijanja
📌Saa zetu ni bora na imara
📌Tunapatikana kariakoo nyuma ya jengo la simba sport
📌Tunafanya delivery mikoa yote ya Tanzania
📌Unachangia delivery kulingana na sehemu uliopo
📌Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim no👇

☎️,Call & Watsapp

+255789799636



Address

Kariakoo Msimbazi
Dar Es Salaam
10179

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seif Watchstore posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share