Wallet_Mwaipopo

Call Contact the business

Wallet_Mwaipopo 🇹🇿Journalist | Content Creator |R.Presenter|
Media Producer.

Celebrating African traditions, local tourism, and the best of Rumba music
For bookings, media coverage
📞 +255659808501
Subscribe For More Tips 👇 youtube.com/

Kundi la Utamaduni kunguru Weusi watuma Ujumbe Kwa Spika wa bunge mstaafu Dr.Tulia Ackson (Mb).Waeleza mema yake,alivyow...
24/09/2026

Kundi la Utamaduni kunguru Weusi watuma Ujumbe Kwa Spika wa bunge mstaafu Dr.Tulia Ackson (Mb).

Waeleza mema yake,alivyowathamini nyakati zote walipoalikwa jijini Mbeya safari yao iliyochangia mwanzo Mpya wa sanaa yao kupitia mbunge Francis Ndulane wakati huo

HADI KAMBINI KWAO FUATIILIA👇
https://youtu.be/ugCw3bikN1A?si=7Y2FC4nxALEeB3Ez

Mawasiliano ya Kundi hili kwenye Mialiko ya burudani 0686585895 /0688693381

23/09/2026

Kunguru Weusi watuma Ujumbe Kwa wadau wapendwa Ngoma za Utamaduni

full interview wakiwa Kambini kwao nimekuwekea YouTube https://youtu.be/ugCw3bikN1A

Mpaka Kambini Kunguru Weusi.
23/09/2026

Mpaka Kambini Kunguru Weusi.

Leo tumetembelea kambi ya mazoezi ...

Makala Zetu
23/09/2026

Makala Zetu

nyumbani kwa mzee K...

23/09/2026

Unanitega?

Makala Zetu
23/09/2026

Makala Zetu

Makala hii im...

Makala Zetu
22/09/2026

Makala Zetu

Safari Yetu ya utengenezaji Makala ndani ya Misitu ya kijiji Rufiji

  wa Tasnia ya Bongomovie Anti Ezekiel,Kajala, Jacklin Wolper na Mama mchungaji Irene Uwoya tayari wamewasili Arusha kwa...
18/09/2026

wa Tasnia ya Bongomovie Anti Ezekiel,Kajala, Jacklin Wolper na Mama mchungaji Irene Uwoya tayari wamewasili Arusha kwajili ya sherehe za Kesho tarehe 19

Safari hii Noorah mwanachemba squad atatupa burudani mara baada ya kukosekana Tangu Tamasha hili kuanzishwa.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0659808501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wallet_Mwaipopo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wallet_Mwaipopo:

Shortcuts

Share