Mtumwa Wa Yesu Kristo.

Mtumwa Wa Yesu Kristo. Enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu

MAMA MZAZI WA MLAANIWA MWAKIPESILE AFARIKI DUNIA.Mimi nasema hivi?? Amechelewa sana kufa huyu mama maana alitakiwa Afe k...
23/04/2026

MAMA MZAZI WA MLAANIWA MWAKIPESILE AFARIKI DUNIA.

Mimi nasema hivi?? Amechelewa sana kufa huyu mama maana alitakiwa Afe kabla hajamzaa huyu Gaidi mzee wa kuhubiri siasa kanisani, mzee wa kushambulia watu badala ya Shetani, mzee wa Chuki kwa serikali,
mzee wa malalamiko, mzee wa chuki kwa waliomtangulia katika imani,
mzee wa chuki kwa huduma zilizoendelea kuliko yake ya kikosi KAZI cha siasa,
mzee wa Chuki kwa Wakristo(walokole), mzee wa chuki kwa Wakristo wa madhehebu mengine nje ya dini yake ya kikosi kazi.
Mzee wa wivu kwa Gari ya Upendo Nkone.... siwezi kumaliza kila kitu hapa.... Aaah.. MUNGU asante tena kwa Hiki🙏
akiendelea kukaza shingo kwa kujiona yuko sahihi Afuatie Mke wake SALOME MWAMPETA🙏
mpaka ajue kuwa Hayuko Sahihi, atubu na Arejee katika Injili ya Wokovu, sio injili ya Chuki na mashambulizi dhidi ya Wengine.

Asiposikia Mapigo yaendelee k**a Farao...🙏

THANK YOU GOD🙏🙏

HATIMAYE MLAANIWA MWAKIPESILE AMTETEA SHETANI.Kwa mara ya kwanza wale ambao hawakuwa wanaamini yale ninayowaambiaga kuhu...
09/03/2026

HATIMAYE MLAANIWA MWAKIPESILE AMTETEA SHETANI.

Kwa mara ya kwanza wale ambao hawakuwa wanaamini yale ninayowaambiaga kuhusu huyu MWEHU wa Mbeya anayeitwa "Mbarikiwa Mwakipesile" (mimi napendelea kumwita Mlaaniwa Mwakipesile) sasa nadhani wataanza kuniamini au wajizime data tu.

Miaka ya 2021 au 2022 Mwakipesile alitoa kitabu kinachoitwa “BILA MAOMBI MENGI UTAHANGAIKA SANA DUNIANI”, Kipindi kile Alikuwa Yupo kwenye Reli, alikuwa hajazolewa na kimbunga cha Siasa, Umbea na Ukaidi na kiburi na Kukimbizana na Trending za mitandaoni.
Hata vaa yake ukiangalia kwenye cover la hicho kitabu amevaa “kishamba”(naweza kusema hivyo) maana alikuwa bado hajaanza kula michango ya Magaidi wake au kikosi chake, Kipindi kile na mimi nilikuwa namkubali.

Lakini baadae akajiingiza kwenye kutafuta umaarufu kwa kuwachambua watu maarufu k**a Wanasiasa, Siasa, Wachungaji, Waimbaji na hata wasio wa dini(kina Wachokonozi)..
Hizo Clips zilipo “Trend” jamaa akawa amepata “Content” ,Akaona Akihubiri injili Haipati Views wala umaarufu, akaona Dili ni kujiingiza kwenye Harakati hizo, huku injili na uchungaji kidogo ikawa k**a kichaka cha kujifichia ili anayoyafanya yakimponza aonekane anateswa kwaajili ya MUNGU/Injili.

Tuachane na hayo... Jana wametangaza kwamba Wanatoa kitabu kipya Kinaitwa "WAAFRIKA WEUSI WANAOOMBA SANA AU WANAOSALI SANA NI KIKWAZO KWA WAAFRIKA WENZAO”

Yaani maombi ni kikwazo, maombi yanachelewesha Harakati(maana kumbuka ninewaambia Siku hizi ameweka injili pembeni ameshakuwa mwanaharakati).

nimesoma intro(utangulizi) wa hicho kitabu kipya aisee nikachoka, Mwakipesile Amemtetea Sana shetani, anasema “Shetani ni Hewa tu hana ubaya wowote, tunatakiwa tudili na wanadamu, sio Shetani”

kiufupi Mwakipesile Amepotoka Rasmi ukilinganisha kitabu hiki na Kile cha mwaka 2021 kinachosema "Bila maombi mengi utahangaika sana Duniani" maana hichi cha 2026 kinasema "Wakristo wanaoomba sana ni kikwazo" .

KAZENI FUVU MUENDELEE KUMSIKILIZA HUYO MWEHU MWENYE UTAKATIFU BANDIA.

MATUSI YA KIKOSI KAZI CHA MLAANIWA MWAKIPESILE.Unajua hiki kikosi cha MLAANIWA MWAKIPESILE kilikuwa kinatumia matusi ya ...
16/12/2025

MATUSI YA KIKOSI KAZI CHA MLAANIWA MWAKIPESILE.

Unajua hiki kikosi cha MLAANIWA MWAKIPESILE kilikuwa kinatumia matusi ya nyuma ya pazia bila kunyoosha vizuri maneno.

Walikuwa wanapendelea kusema
“.. joka wewe mwana wa majoka”
“mpumbavu wewe.. “
“shetani wewe Rudi nyuma yangu.. ”

Na matusi mengine yenye stara ila kwa jinsi walivyokuwa na Hasira kwasababu ya chuki walizopandikizwa na Baba yao mzee Mlaaniwa Mwakipesile.

Leo katika pitapita zangu nikakutana na hiyo “Pseudo account ” ya , huyu ni mfuasi kindakindaki wa mzee Mlaaniwa Mwakipesile, yaani huyu ni wale chawa Original ambae ukimsema vibaya Mzee Mlaaniwa mbele yake anaweza kukuchoma kisu na kukuua🤣

Kafungua Pseudo account inaitwa kwaajili ya kazi Rasmi ya kupambana na Serikali k**a ilivyo Ada kwa kikosi kazi cha Mwakipesile, sasa kuna maneno yamenishangaza, ndio hayo nimeyapigia mstari mwekundu hapo..👇 yasome mwenyewe.

Kisha uje kwenye comments uje uniambie, maneno k**a hayo ni ya kutamkwa na Mtu wa Kikosi kazi cha Mwakipesile ambao wanajiona watakatifu sana utadhani wameshuka kutoka mbinguni??

Naam!! Wanajionaga watakatifu sana utadhani wameshuka kutoka mbinguni ndio maana hawaishi kwa wema na mtu yoyote duniani, wanapendana wao kwa wao tu, wengine wa nje wote wanawaona k**a takataka, japo kuna za chini chini kwamba siku hizi wanavurugana sana humo ndani kwa ndani na wengi wanatamani kutoka ila wanashindwa maana wakati wanajiunga na kikosi waliapa viapo vingi vya kutokumgeuka mzee Mlaaniwa Mwakipesile 😂😂

Hebu nipe maoni yako k**a maneno haya👇 yanaweza kuandikwa na Mtu muhimu sana k**a huyu katika kikosi kazi cha Mlaaniwa MWAKIPESILE.

GAIDI MMOJA WA MWAKIPESILE AMEPATA ALICHOKITAFUTA.Haya yote wamesababishiwa na Baba yao mlaaniwa mwakipesile ambae ndiye...
23/10/2025

GAIDI MMOJA WA MWAKIPESILE AMEPATA ALICHOKITAFUTA.

Haya yote wamesababishiwa na Baba yao mlaaniwa mwakipesile ambae ndiye aliyewajaza roho ya CHUKI kwa serikali na Kuhubiri siasa kanisani pamoja na kuchambua maisha ya watu wengine na kuwatukana mitandaoni.

maana hii style ya kuwachambua watu k**a watumishi, waimbaji, wachungaji na manabii kwa kuwapost na kuwaongelea kwa chuki mitandaoni ni mwakipesile, sasa hawa magaidi wake wanaoitwa "kikosi kazi" wamerithi, sasahivi style yao ni moja tu, kukaa mbele ya camera na kuanza kumshambulia mtu kwa matusi na kumdhalilisha kisha kupost Facebook na YouTube, na kwenye YouTube kikosi hiki kila mmoja ana channel yake ya Kazi hiyo ya kuwashambulia watu, na kauli yao kuu wakati wanashambulia (hasa wanasiasa) huwa wana tabia yakujigamba kwamba "USINITISHE" au "SIOGOPI YEYOTE" au "HATA NIKITEKWA SIOGOPI" wanafika mbali na kusema "NJOONI MNITEKE NIKO SEHEMU FULANI" huku anatukanana kwa mafumbo au udhalilishaji mwingine dhidi ya Utu au cheo cha mhusika wanaemchamba wakati huo, Sasa Gaidi k**a hilo likipotea mnalitafuta la nini?
k**a huyu anaedaiwa kupotea jana eti wamechachamaa wanamsaka vituo vya polisi na mahospitali, sasa wanamtafuta wa nini wakati akiwa mbele ya kamera ya kisimu chake cha mkopo wa YAS anajigamba kwamba anapenda kutekwa au kuuawa kwaajili ya Taifa lake na sio kwaajili ya Injili?? 🤣🤣

Haya majigambo alikuwa nayo Baba yao Mlaaniwa Mwakipesile , alipenda sana kusema "Nitafia ndani ya Taifa hili, sitatoroka" 🤣 leo yuko wapi?? Mbon ametoroka na kwenda kujificha kusikojulikana??

WATUMISHI WAMUNGU, zingatieni wito wenu, K**a umeitiwa injili Basi siasa sio sehemu ya mahubiri yako, kuwadhalilisha watu sio sehemu ya injili , Injili ni upendo kwa wakristo wenzio hata k**a sio sehemu ya kanisa lako, pia injili ni kuwaonyesha upendo wale waliopotea ili warejee kwa MUNGU.

Je, mliwahi kusikia mwakipesile na hawa magaidi wake wakihubiri upendo kwa wenye dhambi ili wamrudie Mungu zaidi ya kuwahukumu kana kwamba yeye ndiye MUNGU?

kweli mtoto wa nyoka ni NYOKA, na nyoka ndiye BABA YAO MLAANIWA MWAKIPESILE MZEE WA CHUKI KWA WAKRISTO WENZIE AMBAE SIO WA DHEHEBU LAKE LA KIKOSI KAZI CHA SIASA NA CHUKI.

KIKI ZA MLAANIWA MWAKIPESILE NA MKEWE.Kuanzia wiki iliyopita nilikuwa makini nikifuatilia habari ya Mwakipesile kutoroka...
22/10/2025

KIKI ZA MLAANIWA MWAKIPESILE NA MKEWE.

Kuanzia wiki iliyopita nilikuwa makini nikifuatilia habari ya Mwakipesile kutoroka mbeya na kukimbilia kusikojulikana, ambako yeye anasema yuko mafichoni, japo hajaweka wazi kuwa yuko ndani ya nchi au nje, chanzo cha kuondoka Mbeya anasema ni suala la kiusalama, anasema anafuatiliwa na watu wasiojulikana, alijigamba kwa kusema "hata mkewe hajui alipo" Hatujakaa sawa mara jana tena nimepata habari kuwa Mkewe pia ametoroka kwa sababu zile zile za mumewe, nae anadai anafuatiliwa!!

kwanza mnatakiwa mjue, Mimi sijaanza kufuatilia mienendo ya kikosi kazi leo, nilianza miaka mingi sana k**a miaka 4 au 5 nyuma, nikawa nawachunguza sana mienendo yao baada ya kuwa wanajigamba sana kuwa wao ndio Watakatifu pekee hapa Duniani, madhehebu na dini zingine na wachungaji wengine wote ni Takataka, ndio maana mahubiri yao mara nyingi ni ya kushambulia Wachungaji wa Makanisa mengine, na wote ambao sio sehemu ya kikosi kazi, kila mahubiri ya makanisa mengine lazima wayakosoe, lakini wao hata wakihubiri utumbo basi wanashangilia na kujiona wako sawa kwa kila kitu.
ok, tunarudi kwenye mada, hiyo ni intro tu kwa wageni wa page hii.

MWAKIPESILE hayuko mafichoni, yuko kule kule mbeya, amefichwa na vijana wake wa kikosi kazi, lengo la kutangaza hii taharuki na kupost kwamba Wamekimbia nchi na wako mafichoni ni muendelezo wa Chuki zake kwa serikali, na ni katika harakati za kuendelea kuwajaza chuki wananchi dhidi ya serikali kwasababu yeye ana chuki na serikali kwasababu Serikali imegomea usajili wa kanisa lake la Kigaidi na kisiasa.
naam, kanisa lake limejaa harakati za kidunia na sio injili, harakati hizo za kidunia ni pamoja na SIASA na MASIMANGO na KICHAMBUA MAISHA YA WENGINE, hawahubiri injili ya WOKOVU.

Kwahiyo msitahayarike na huyu Mtu, sasahivi anatapatapa tu, maana wameshagombana pia na Mpambe wake maarufu ambae ni PASCHAL CASSIAN 😂
Hizi ni Drama ti na kiki ili aendelee kuongelewa, hakuna mchungaji hapo, ni MBWA-MWITU mpenda KIKI na kubweka

MAELEZO YA KIROHO KUHUSU MATUKIO YAFUATAYO1. *MWEZI MWEKUNDU (Blood Moon) – Sep 7**Kiashiria cha Hukumu na Onyo la Mungu...
14/09/2025

MAELEZO YA KIROHO KUHUSU MATUKIO YAFUATAYO

1. *MWEZI MWEKUNDU (Blood Moon) – Sep 7*

*Kiashiria cha Hukumu na Onyo la Mungu*
- Katika Biblia, mwezi kuwa damu ni ishara ya *tahadhari kubwa* kabla ya siku kuu ya Bwana.
- Inawakilisha *hukumu, maangamizi au mabadiliko makubwa* yanayokaribia.
- Kwa waumini, ni *wito wa kutubu*, kuamka kiroho, na kujiandaa kwa kurudi kwa Kristo.

🔹 *Yoeli 2:31, Matendo 2:20* – “Mwezi kuwa damu…”

---

2. *KUPATWA KWA JUA – Sep 21*

*Giza la Kiroho & Mpito wa Majira*
- Jua likifunikwa linawakilisha *kupungua kwa nuru ya kiroho*, yaani watu wengi kukengeuka au kupotea.
- Pia ni ishara ya Mungu *kuondoa uso wake kwa muda*, au majaribu kwa mataifa.
- Ni wito kwa watu *kumrudia Mungu* ili nuru yake iwamulikie tena.

🔹 *Mathayo 24:29, Ufunuo 6:12* – “Jua litatiwa giza…”

---

3. *MCHANA NA USIKU KUWA SAWA (Equinox) – Sep 22*

*Usawa wa Majira: Mungu Anasimamia Muda*
- Kiashiria cha Mungu kuwa na *mpangilio kamili wa nyakati*.
- Inawakilisha *balance* ya kiroho: kati ya neema na hukumu, nuru na giza.
- Kwa Mkristo, ni wito wa *kuhifadhi usawa wa maisha*: sala, kazi, ibada, na nidhamu.
🔹 *Mwanzo 8:22* – “Majira ya mchana na usiku hayatakoma...”

---

4. *MVUA YA NYOTA – Sep 27*

*Kuanguka kwa Mamlaka, Watu na Nyota za Kiroho*
- Nyota kuanguka ni mfano wa *kuanguka kwa watu mashuhuri au viongozi wa kiroho*.
- Pia ni onyo la mabadiliko makubwa, mitikisiko ya kiroho au hata kuanguka kwa falme na mifumo ya dunia.
- Ni wito kwa waumini *kudumu katika imani*, kwani dunia itatikiswa.

🔹 *Ufunuo 6:13, Marko 13:25* – “Nyota zitaanguka...”

---

Hitimisho la Kiroho:

Matukio haya sio tu ya kiasili, bali yanaweza kuwa *ishara za kiroho* zinazoonyesha kuwa:
- Dunia inakaribia *mabadiliko ya nyakati*, na
- Mungu anatufundisha tuwe *waangalifu na tayari*.

*Mathayo 24:42* – *“Kesheni basi, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.”*

MUNGU AWABARIKI SANA.

WANAOANGALIA MAVAZI NI WANADAMU, SIO MUNGU.Siku hizi kuna wimbi jipya limezuka la Watu kunadisha tamaa zao na Amri ya Mu...
24/08/2025

WANAOANGALIA MAVAZI NI WANADAMU, SIO MUNGU.

Siku hizi kuna wimbi jipya limezuka la Watu kunadisha tamaa zao na Amri ya Mungu, yaani tamaa zao zinaonekana na Mungu anazo.

Je,Kipi katika mwili ambacho kinamshangaza Mungu??

Mungu aliumba maumbile yote hadi shepu nzuri ambazo hawa wengine wavae magunia bado inaonekana na wenye tamaa ya uzinzi bado tu watasema watakavyosema.
Yaani siku hizi mwanamke akivaa nguo fulani inayoamsha tamaa zako za kizinzi wewe badala ya kukemea hiyo toho yako ya uzinzi badala yake unaanza kumkemea Mtu ,eti Mungu anachukizwa, andiko gani linasema Mungu anahangaika na jinsi watu wanavyovaa??

kila Tamaduni la kabila lina mavazi yake ya Asili,na mara nyingi mavazi ya asili yana namna fulani ya kuwachanganya wenye macho ya uzinzi,na hizo Mila au tamaduni ni Mungu ndio aliyeamua ziwe hivyo maana alitaka watu wasifanane kuanzia lugha hadi akili na tamaduni na uvaaji, sasa anaibuka mtumishi mmoja mshenzi mwenye macho yake ya uzinzi anaanza kukemea watu wanavyovaa huku akisingizia kwamba Mungu anachukizwa,kumbe ni uzinzi wako unakutesa.

Kiufupi Mungu hachukizwi hata utembee k**a ulivyozaliwa, Mungu anachoangalia ni Roho yako iwe safi tu, K**a Mungu anaachukizwa na nyuchi za watu Basi hata chumbani kwako,chooni na bafuni ukivua nguo ungekuwa unamchukiza Mungu maana anakuona kila mahali.

Kwakumalizia,Wanaoangalia Mavazi ni Wanadamu,Sio MUNGU!!

MUNGU ANA HAJA NA ROHO YAKO TU,SIO MWILI WALA MAVAZI, MAANA MWILI NA MAVAZI NI VITU ITAKAVYOBAKI DUNIANI MILELE!!

HAWA NDIO WANAOJIITA ‘MASHUJAA WA IMANI’ NA WAKO MBALI NA MUNGU.Je, Sifa za Paschal Cassian na Mlaaniwa Mwakipesile..oh ...
13/08/2025

HAWA NDIO WANAOJIITA ‘MASHUJAA WA IMANI’ NA WAKO MBALI NA MUNGU.

Je, Sifa za Paschal Cassian na Mlaaniwa Mwakipesile..oh sorry, kumbe anajiita Mbarikiwa🤣🙌
ok tuendelee..😎

Je, Mbarikiwa mwakipesile na Paschal Cassian wanafaa kuitwa Mashujaa wa Imani??

Jibu Rahisi ni “HAPANA” , k**a ni utumishi wema ulikuwa ni zamani, sio sasahivi, sasahivi ushujaa wao ni kushambulia Serikali,Watu binafsi,Huduma za kiroho,wachungaji pamoja na Kuwaponda waimbaji.. Bila kusahau kuwa hawa jamaa hawajawahi kuhubiri kwamba watu waache Dhambi, Wao huwa wanawahukumu wenye dhambi mpaka wanakosa hamu ya kuokoka kwa kujiona hawafai hata kidogo, Kiufupi hawa wamejawa na roho ya Chuki dhidi ya Huduma zingine za kiroho, wanatamani Huduma zao ndio ziwe juu.

Mahubiri yao yamejawa na umbea,Chuki na Matusi, pamoja na personal attack(kuwataja watu majina), bila kusahau kuingilia Siasa na kuzileta kanisani.

UMBEA: Ukiangalia Channel zao YouTube hawa jamaa wawili hakuna Trending itakayowapita,iwe ya kisiasa au ya watu Binafsi, hata trending za Kitaa k**a zile za kuwasimanga single mothers hazijawapita.

Je,Ni mashujaa au content creators wanaoigiza k**a mashujaa wa imani? maana channel zao za YouTube zimejaa habari zao,matatizo yao,malalamiko yao,siasa na umbea.. hakuna ujumbe wa kiroho hata kidogo.

Mashujaa Gani hawa wanatembea na Trending??

KUTAFUTA SIFA: Paschal cassian nae alijulikana miaka k**a ya 2015 au 16 kwa trending zake za kusema aliingia freemason na kutoka,hivyo akawa anashuhudia sana siri za Freemason na kudai kuwa kuna wachungaji wakubwa wapo mle aliwaona, akajizolea umaarufu na wengi wakamjua, baadae akaanza kuimba na kuhubiri..akaendelea kupata umaarufu, sasa alipoona watu wanamwamini sana ndipo alipoanza kupotoka na kuanza kuhubiri umbea na kutembea na trending za umbea na siasa,Injili akaiweka mfukoni.
Baada ya Mungu kuanza kumnyoosha ili arufi kwenye reli basi mahubiri yake yakawa ni kujihubiri yeye na matatizo yanayomkabili,nyimbo pia anaimba za matatizo yake.

Address

Kisumu

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254711452556

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtumwa Wa Yesu Kristo. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share